SHULE YA SEKONDARI PUGE
Anwani:
S.L.P 82, Ndala – Tabora
Kata ya Puge, Halmashauri ya Wilaya ya Nzega, Tanzania
Email: pugesecondary1997@gmail.com
Mkuu wa Shule: 0766 072 210
Makamu Mkuu wa Shule: 0678 116 537
HISTORIA YA SHULE
Shule ya Sekondari Puge ni shule ya serikali inayotoa elimu kuanzia Kidato cha Kwanza hadi Kidato cha Sita kwa jinsia zote. Ipo katika Kata ya Puge, Halmashauri ya Wilaya ya Nzega, Mkoani Tabora. Umbali wa kilometa 59 kutoka Nzega mjini na kilometa 55 kutoka Tabora mjini.
Ilianzishwa mwaka 1997 na kuzinduliwa rasmi na Hayati Benjamin William Mkapa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati huo.
KAULI MBIU
“Taaluma, Nidhamu na Maendeleo”
MITAALA INAYOFUNDISHWA
Kidato cha Kwanza hadi Kidato cha Nne (O-Level)
Masomo yanayofundishwa ni:
- Geography
- Biology
- English Language
- Mathematics
- Kiswahili
- Physics
- Chemistry
- Business Studies
- Book Keeping
- History
- Historia ya Tanzania na Maadili
- Nutrition
Kidato cha Tano na Sita (A-Level)
Shule ina tahasusi (combinations) zifuatazo:
- PCM: Physics, Chemistry, Advanced Mathematics
- EGM: Economics, Geography, Advanced Mathematics
- EBuAc: Economics, Business Studies, Accountancy
Masomo ya Msingi ya Ziada
- Basic Applied Mathematics
- Academic Communication Skills
- Historia ya Tanzania na Maadili
Shule ya Sekondari Puge inalenga kutoa elimu bora yenye msingi wa maarifa, nidhamu na maendeleo ya mwanafunzi binafsi pamoja na jamii kwa ujumla.
Hewa nzuri